10.05.2020: BISHOP DR. DUNSTAN MABOYA AKIHUBIRI KATIKA WIKI YA 3 TANGIA AFARIKI BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE
"Wakati umetimia, na ufalme wa Mungu umekaribia, tubuni, na kuiamini Injili. Marko 1:14.
---------------------------
Mch. Dkt. Dunstan Maboya akihubiri siku ya Jumapili 10.05.2020 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B", ikiwa ni Jumapili ya tatu tangia mbeba maono wa kanisa hilo Bishop Dr. Gertrude Rwakatare afariki dunia Aprili 20.2020 na mwili wake kupumzishwa katika nyumba yake ya milele nje ya kanisa lake.
BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAID
BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAID
Comments
Post a Comment