03.05.2020: WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI WATUNGA WIMBO MAALUM KWAAJILI YA MAOMBOLEZO YA BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE

"Ee Bwana, Mungu wa wokovu wangu Mchana na usiku nimelia mbele zako. Maombi yangu yafike mbele zako, uutegee ukelele wangu sikio lako. (Zaburi 88:1-2)" 

------------------------------------ 
Waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania walioungana kwa pamoja na kutunga wimbo wa maombolezo kwa kifo cha Bishop Mhe. Dr. Gertrude Rwakatare kilichotokea Aprili 20.2020 jijini Dar es Salaama na mwili wake kupumzishwa nje ya kanisa lake la Mlima wa Moto Mikocheni "B"













Comments