DAMU YA YESU
- Mch. Noah Likumai
- Inaweza kuwatoa wenye dhambi na kuja kumtumikia Mungu.
- Inakupa neema ya Bwana
- Inakupa ukombozi
- Inakuokoa
- Inageuza historia ya maisha yako
- Ni silaha kwa maadui yako wanaotaka kukuangamiza
- Inakomboa ndoa yako na afya yako
- Inategua mitego waliyokutegea
SABABU YA KUSHIRIKI
DAMU YA YESU
Askofu Mh. Dkt. Gertrude Rwakatare
Askofu Mh. Dkt. Gertrude Rwakatare
Bwana Yesu asifiwe, ni vizuri kuwepo nyumbani mwa Bwana, ni
vizuri kukutana na Mungu wako, ni vizuri kupokea Baraka kutoka kwa Mungu
1. Silaha katika vita vya magonjwa
1. Silaha katika vita vya magonjwa
Ufunuo 12:13: Unaweza kushinda shetani kwa damu ya mwana
kondoo
Ficha biashara yako ndani ya damu ya Yesu
Tunawachovya katika damu ya Yesu katika kipindi hiki cha
uchaguzi
Katika vita, shida tatizo itia damu ya Yesu
2. Ulinzi kwako Kutoka 12:13
Pasaka maana yake Pass Over, yaani misukosuko ikuruke wewe
iende kwingine
Mapenzi ya Mungu ni kutaka kila tatizo likuruke
Shida za iana mbalimbali zikurike
3. Utakazo
4. Chakula.
Zaburi105:7
5. Uhai. Walawi 11:11
6. Dawa.
Kama unaugonjwa unapon
Comments
Post a Comment