31.05.2020: Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa akiwakilisha ofisi ya Bunge kwenye hitimisho la siku 40 za maombolezo ya kifo cha Bishop Dr. Gertrude Rwakatare - Part 1
Luka 13:24 - Yesu akawaambia, “Jitahidini kuingia kwa kupitia mlango mwembamba; maana nawaambieni, wengi watajaribu kuingia lakini hawataweza.
-----------------------
Muwakilishi kutoka ofisi ya Bunge Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa akimshukuru Mungu kwenye ibada ya Shukrani iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" kwenye hitimisho la siku 40 za maombolezo ya kifo cha Bishop Dr. Gertrude Rwakatare
Comments
Post a Comment