31.05.2020: Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa akiwakilisha ofisi ya Bunge kwenye hitimisho la siku 40 za maombolezo ya kifo cha Bishop Dr. Gertrude Rwakatare - Part 5
Warumi 15:13: Basi Mungu wa tumaini na awajaze ninyi furaha yote na amani katika kuamini, mpate kuzidi sana kuwa na tumaini, katika nguvu za Roho Mtakatifu.
-----------------------------
Muwakilishi kutoka ofisi ya Bunge Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa Akitoa salamu za rambirambi kutoka Bungeni (muwakilishi) kwa familia, ndugu, wafiwa wote na waumini wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" siku ya Jumapili 31.05.2020 ikiwa ni siku ya hitimisho la siku 40 za maombolezo kwa kifo cha mbeba maono wa kanisa hili Bishop Dr. Gertrude Rwakatare (Mbunge)
Comments
Post a Comment