31.05.2020: Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa akiwakilisha ofisi ya Bunge kwenye hitimisho la siku 40 za maombolezo ya kifo cha Bishop Dr. Gertrude Rwakatare - Part 1

Isaya 2:11: Macho ya mwanadamu yaliyoinuka yatashushwa chini, na kiburi cha mwanadamu kitainamishwa, naye Bwana yeye peke yake, atatukuzwa siku hiyo.!

-----------------------------------------
Muwakilishi wa Bunge Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa akiweka shada/ua katika kaburi la Bishop Dr. Gertrude Rwakatare (Mbunge) siku ya Jumapili 31.05.2020 nje ya kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" katika hitimisho la siku 40 za maombolezo ya kifo chake (Woman of Faith)










Comments