31.05.2020: Familia ya Marehemu Bishop Dr. Gertrude rwakatare ikisoma wasifu wa mama yake mpendwa siku ya hitimisho la siku 40 za Maombolezo
Sefania 3:17. "Bwana, Mungu wako, yu katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia kwa furaha kuu, Atakutuliza katika upendo wake, Atakufurahia kwa kuimba. "
--------------------------------------------------
Familia ya marehemu Bishop Dr. Gertruude Rwakatare (Rose Rwakatare, Humphrey Rwakatare, Tibe Rwakatare na Mutta Rwakatare) siku ya Jumapili 31.05.2020 waliweza kusoma wasifu wa Mama yao na kumuelezea kiundani kuhusu maisha yake na mchango wake kwa jamii enzi za uhai wake.
PICHA ZAIDI BONYEZA HAPA
Comments
Post a Comment