31.05.2020: Baadhi ya waumini wakiweka mashada katika kaburi la marehemu Bishop Dr. gertrude rwakatare
1 Petro 5:10."Lakini mkisha teseka muda mfupi, Mungu aliye asili ya neema yote na ambaye anawaiteni muushiriki utukufu wake wa milele katika kuungana na Kristo, yeye mwenyewe atawakamilisheni na kuwapeni uthabiti, nguvu na msingi imara."
----------------------------------------------
Baadhi ya waumini wa Mlima wa Moto Mikocheni "B" wakiweka mashada katika kaburi la mbeba maono wa kanisa hilo marehemu Bishop Dr. Gertrude Rwakatare siku ya Jumapili 31.05.2020 kwenye ibada ya kumshukuru Mungu iliyoambatana na hitimisho la sku 40 za maombolezo
Comments
Post a Comment