24.05.2020: HAPPY KWAYA WAKIMSIFU MUNGU KATIKA MADHABAHU YA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" May 29, 2020 Get link Facebook Twitter Pinterest Email Other Apps Mwimbieni Bwana zaburi, Enyi watauwa wake. Na kufanya shukrani. Kwa kumbukumbu la utakatifu wake. Zaburi 30:4 ------------------------- Happy kwaya wakimsifu Mungu siku ya Jumapili 24.05.2020 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZINGINE Comments
Comments
Post a Comment