17.05.2020: WATU WAKIMSIFU MUNGU KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"- part 1


Tumsifu Mungu wetu kwasababu Kumbukumbu la Torati 10 : 21 linasema' "Yeye ndiye fahari yako, na yeye ndiye Mungu wako, aliyekutendea mambo haya makubwa, ya kutisha, uliyoyaona kwa macho yako. " 

---------------------------- 

Kikundi cha kusifu na kuabudu cha kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" wakiiongoza ibada ya sifa siku ya Jumapili 17.05.2020 ikiwa ni Jumapili ya nne tangia mbeba maono wa kanisa hili marehemu Bishop Dr. Gertrude Rwakatare afariki dunia na mwili wake kupumzishwa katika nyumba yake ya milele nje ya kanisa lake.




 


Comments