17.05.2020: WATU WAKIMSIFU MUNGU KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"- Part 2

Yohana 4:24. “Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.” 

---------------------------- 
Waumini wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" wakimwabudu Mungu siku ya Jumapili 17.05.2020 ikiwa ni Jumapili ya nne tangia mbeba maono wa kanisa hili marehemu Bishop Dr. Gertrude Rwakatare afariki dunia na mwili wake kupumzishwa katika nyumba yake ya milele nje ya kanisa lake.








Comments