“Ee Bwana kumbuka yaliyotupa; Utazame na kuiona aibu yetu.” Maombolezo 5:1
----------------------
Praise and Worship Team wakimsifu Mungu siku ya ya Jumapili 10.05.2020 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B'. Hii ni Jumapili ya tatu tangia mbeba maono wa kanisa hili afariki dunia April 12.2020 na mwili wake kupumzishwa nje ya kanisa lake.
Comments
Post a Comment