10.05.2020: Nabii Muril wakitoa salamu zake za rambirambi kwa waumini na familia ya Marehemu Dr. Gertrude Rwakatare

Lakini Bwana akaniambia, "Usiseme, mimi ni mtoto; maana utakwenda kwa kila mtu nitakayekutuma kwake, nawe utasema kila neno nitakalokuamuru. Usiogope kwa sababu ya hao maana mimi nipo pamoja nawe nikuokoe. (Yeremia 1:7-8)
----------------------- 
Nabii Muril akiwafariji waumini, marafiki na familia ya marehemu Bishop Dr. Gertrude Rwakatare siku ya Jumapili 10.05.2020 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B"










Comments