10.05.2020: Kusifu na kuabudu - Part 2

"Nifuateni nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu. Mathayo 4:19.

----------------------------
Waumini wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" wakimsifu Mungu siku ya Jumapili 10.05.2020 ikiwa ni Jumapili ya tatu tangia mbeba maono wa kanisa hili Bishop Dr. Gertrude Rwakatare afariki dunia April 20.2020 na mwili wake kupumzishwa katika nyumba yake ya milele nje ya kanisa hilo








Comments