MAOMBI YA KULIOMBEA TAIFA LA CONGO KUHUSU UCHAGUZI WA RAIS YABIWA NA MUNGU KWA KISHINDO


Hakika Mungu ni mwema amejibu maombi yetu dhidi ya nchi ya DRC Congo. Nakumbuka siku ya Jumapili 29.07.2018 alikuja mtumishi wa Mungu Nabii Serge Masheka katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" akiwa amebeba udongo wa nchi ya DRC Congo kwenye bakuli ukiwa umefunikwa bendera ya Congo kwaajili ya kuombewa na mtumishi wa Mungu Bishop Dr. Gertrude Rwakatare. Kanisa lote lilisitisha kazi zake na kuanza kumlilia Mungu kwaajili ya uchaguzi mkuu wa rais wa nchi ya DRC Congo ufanyike kwa amani bila migogoro wala vita. Tunamshukuru Mungu uchaguzi huu umefanyika kwa amani na kumpata Rais wanaompenda Mhe. Felix Tshesikedi. Mungu ni mwema sana.

BONYEZA HAHA KUONA VIDEO YA MAOMBEZI: https://www.youtube.com/watch?v=t8BPdSuAajY
BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZA WATU WAKIOMBEA UCHAGUZI MKUU WA RAIS WA CONGO UFANYIKE KWA AMANI.: http://mountainoffiretanzania.blogspot.com/…/29072018-bisho…




Rais wa DRC Congo Felix Tshesikedi





Nabii Serge kutoka DRC Congo (kulia) na Bishop Dr. Gertrude rwakatare















Comments