11.11.2018: NINAWASHUKURU KWA KUNIOMBEA | Bishop Dr. Gertrude Rwakatare

Bwana apewe sifa. Ninapenda kuwashukuru wachungaji, wazee wa kanisa, wainjilisti, viongozi wa idara, vijana, wahudumu, waumini na wageni wote waliohudhuria ibada ya maombi ya KUFUNGULIWA na mkaweza kuniombea siku ya Jumapili 11.11.2018 katika hekalu la Mungu la Mlima wa Moto Mikocheni "B". Mungu awabariki sana
------------
Bishop Dr. Gertrude Rwakatare

















Comments