12.08.2018: WAUMINI WA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" WALIVYOMSIFU MUNGU KATIKA IBADA YA KUFUNGULIWA KUTOKA KATIKA VIFUNGO VILIVYOWAFUNGA WATU

Leo nimeona ni vyema nikakuletea video ili uweze kuona watu wakimsifu Mungu siku ya Jumapili 12.08.2018 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" kwenye ibada ya "Kufunguliwa Katika Vifungo Vilivyotufunga" ambapo mtumishi wa Mungu Enock Tontoo aliongoza kipindi cha sifa akishirikiana na Praise & Worship Team ya Mlima wa Moto Mikocheni "B"


Wewe uliyekosa ibada hii tunakualika tena katika ibada ya Jumapili hii itakayoanza saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana katika kanisa la MLima wa Moto Mikocheni "B" jijini Dar es Salaa..

Usafiri wa kufika kanisani ni bure kuanzia kituo cha mabasi cha Makumbusho na Mwenge kwenye mataa barabara ya Coca Cola, Ilala Stand, Tegeta Wazo, Goba Stand, Mbezi Mwisho/Kimara Stop Over, Buguruni Chama/ Mandela Road, Mbagala Rangi 3















Comments