12.07.2018: BISHOP DUNSTAN MABOYA KUTOKA ARUSHA AFAFANUA NJIA 12 ZA KUSIKIA SAUTI YA MUNGU KATIKA SEMINA YA SIKU * YA MID YEAR CROSS OVER

Nikusalimu kwa jina la Yesu Kristo. Leo ningetamani sana ukaangalia video ya mahubiri ya mtumishi wa Mungu Bishop Dunstan Maboya aliyohubiri siku ya Alhamisi 12.07.2018 kwenye semina ya siku 8 ya Mid Year Cross Over ambayo inaendelea katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" kuanzia saa 9:30 alasiri na siku ya Jumapili 15.07.2018 semina hiii ambayo hufanyika mara moja tu kwa mwaka itahitimishwa kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana. Katika semina hii hakuna kiingilio na ni kwa dini zote, mataifa yote, makabila yote na madhehebu yote Sasa basi, tumekuandalia video mbili lakini kwanza tutakupa ya kwanza anayoelezea kwa kifupi Njia 12 za Kusikiliza Sauti ya Mungu.

Ukitaka kusikia na kuona video hii bonyeza hapa: https://www.youtube.com/watch?v=_ZmHDOmKnL8&t=263s Video ya pili ya somo la Njia 12 za Kusikiliza Sauti ya Mungu. Bonyeza hapa: http://mountainoffiretanzania.blogspot.com/2018/07/12072018-video-watu-wasio-sikia-sauti.html

Bishop Dunstan Maboya
















 













































Comments