08.09.2018: BISHOP MHE. DR.GERTRUDE RWAKATARE NA BISHOP DUNSTAN MABOYA WAKIWAOMBEA WAUMINI KATIKA UZINDUZI WA MID YEAR CROSS OVER

Bishop Dr. Gertrude Rwakatare na Bishop Dunstan Maboya kutoka Arusha walivyoweza kuwaombea watu wemye mahitaji mbalimbali katika uzinduzi wa semina ya siku 8 ya MID YEAR CROSS OVER 2018 siku ya Jumapili 08.09.2018 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikoceni "B". Semina hii inaendea katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" kianzia saa 9:30 alasiri kila siku na itahitimishwa siku ya Jumapili 15.07.2018 kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana. Wote mnakaribishwa sana.


 Bishop Dr. Gertrude Rwakatare




 Bishop Dunstan Maboya













Comments