24.06.2018: ASKOFU ATEMBELEA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" NA KUSHIRIKI IBADA YA KURUDISHIWA UTAKATIFU ULIOIBIWA

Tunamshukuru Mungu kwa kumtumia Askofu huyu kutupa Neno la Mungu baada ya kutembelea kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" siku ya Jumapili24.06.2018 na kushirikia ibada ya KURUDISHIWA UTAKATIFU NA KUVISHWA VAZI LA UTUKUFU. Hakika tulibarikiwa sana.




Comments