MH. BISHOP DR. GERTRUDE RWAKTARE: FAIDA ZA NAFSI KUMUHIMIDI BWANA

// Kama unataka kusamehewa dhambi zako, kuponywa magonjwa yako yote, kukombolewa uhai wako, kushibishwa mema wakati wa uzee wako BASI nafsi yako inapaswa KUMUHIMIDI BWANA //

// Zaburi 103:1-5:- Ee nafsi yangu, umuhimidi Bwana. Naam, vyote vilivyo ndani yangu, vilihimidi jina lake takatifu. Ee nafsi yangu umuhimidi BWANA wala usisahau fadhili zake zote. Akusamehe maovu yako yote. Akukomboa uhai wako na kaburi, akutia taji ya fadhili na rehema, aushibishe mema uzee wako, ujana wako ukarejezwa kama tai //

...................
// Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare //
// Mlima wa Moto Mikocheni "B" //
// Ibada ya Jumapili ni saa 3 asubuhi hadi 8 mchana//
//Usafiri bure kuanzia kituo cha mabasi cha Makumbusho au Mwenge kwenye mataa //
//Baada ya ibada utarudishwa kituoni.//
// Njoo na ndugu na rafiki //

Comments