MCH. NOAH LUKUMAY: USIHOFU WALIOKUFANYIA MAOVU WATARUDISHIWA UOVU WAO

// Waliokufanyia Uovu watarudishiwa Uovu wao na wataangamizwa... USIHOFU.//

//Zaburi 94: 22-23:- Lakini BWANA amekuwa ngome kwangu, na Mungu wangu mwamba wangu wa kukimbilia. Naye atawarudishia uovu wao, atawaangamiza katika ubaya wao. Naa, BWANA Mungu wetu, atawaangamiza //



//Mch. Noah Lukumay//
//Mlima wa Moto Mikocheni "B"//
//Ibada zetu ni saa 3 asubuhi -8 mchana//
//Usafiri bure kuanzia kituo cha mabasi cha Makumbusho au Mwenge kwenye mataa//

Comments