29.10.2017: VIDEO: MAOMBI MAALUM YA KUWAOMBEA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE KWAAJILI YA MITIHANI YAO YA MWISHO

Maombi ya kuwaombewa wanafunzi wa kidato cha nne Tanzania yaliongozwa na Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare katika ibada ya Kutengua manuizo na laana katika maisha yetu iliyofanyika siku ya Jumapili 29.10.2017 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B"

Comments