29.10.2017: MCH. NOAH LUKUMAY ACHUKIZWA NA MANENO YA WATU KUWA YANAWEZA KUMUUA MTU NA PIA ATENGUA MANUIZO NA LAANA KATIKA MAISHA YA WATU

Siku ya Jumapili 29.10.2017 tulibarikiwa sana na mafundisho ya Mch. Noah Lukumay katika ibada ya Kutengua Manuizo na Laana katika maisha yetu. Ibada hii ilifanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" kwa Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare.
Mch. Noah Lukumay


Naomba sasa uangalie video hii kujifunza kile alichokifundisha Mch. Noah Lukumay.





 Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare



















 Mch. Stanley Nnko (kushoto) na Mch. Asenga















Comments