22.10.2017: PICHA ZA WAUMINI WAKIOMBEWA NA MCH. NOAH LUKUMAY KATIKA IBADA YA KUHARIBU NGUVU ZA KAFARA ZILIZOFANYIKA KATIKA MAISHA YETU

//Mathayo 4:4 - Mtu hautaishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.//
Waumini wa Mlima wa Moto Mikocheni "B" wakiwa katika maombi siku ya Jumapili 22.10.2017 katika ibada ya Kharibu Nguvu za kafara Zilizofanyika Katika Maisha Yetu.
Tunakukaribisha katika ibada ya Jumapili hii, ibada itaanza saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana. Mungu akubariki sana
Mch. Noah Lukumay






Comments