08.10.2017: MR. & MRS. LEONARD KASEMBE WALIVYOMZWADIA MH. BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE BAADA YA KUPATA MTOTO

Mr. &. Mrs Leon Kasembe siku Jumapili 08.10.2017 walimshukuru Mungu kwa kupata mtoto, walimshukuru Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare kwa maombi yake na upendo alionao katika familia yao na pia waliwashukuru watu wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine. Shukrani hizi zilitolewa katika ibada ya KUVUNJA NIRA iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B".

Yawezekana unatafuta mtoto kwa kipindi kirefu, jiunganishe na upako huu kwa kushiriki ibada ya Jumapili huu saa 3 asubuhi hadi saa 8 alasiri na katika ya wiki ibada ni kuanzia saa

























Comments