01.10.2017: KWAYA YA WOMEN FOR CHRIST ALLIANCE (WOCA) ILIVYOMSIFU MUNGU KATIKA HITIMISHO LA KONGAMANO LA WANAWAKE NA UCHUMI


Kwaya ya Women For Christ Alliance (WOCA) ya kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" Assemblies of God siku ya Jumapili 01.10.2017 ilitubariki sana kwa nyimbo zao za kuahamasisha wanawake kuchamkia fursa za kujikwamua na umaskini. Hii ilifanyika katika hitimimisho la kongamano la Wanawake na Uchumi la Kukomesha Kilio cha Mwanamke Kifamilia, Kihuduma, Kiuchumi na Kiafya. Kongamano hili liliongoza na maombezi. Walimu wa Kongamano hili walikuwa Mch. Dkt. Peter Mitimingi, Esther Mukasa, Bw. Mashauri, Bishop Dkt. Dunstan Maboya, Mary Ngowi na mwenye Bishop Dr. Gertrude Rwakatare.


Mh. Bishop Dr. Gerude Rwakatare





































Comments