MAENEO MAALUM YA KUPIGIA PICHA WAKATI WA KONAMANO LA WANAWAKE NA UCHUMI YAANDALIWA RASI MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Usikose siku 8 za Kongamano la Wananwake na UCHUMI la KUKOMESHA Kilio Cha Mwanamke Kiuchumi, Kiafya na Kifamilia ndani ya kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" kuanzia Jumapili 24.09.2017 hadi Jumapili 01.10.2017. Siku za Jumapili litaanza saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana na usafiri wa kufika kanisani ni bure kuanzia kituo cha mabasi cha Makumbusho au Mwenge kwenye mataa. Baada ya kongamano utarudishwa kituoni. Siku za katikati ya wiki ni kuanzia saa 9:30 alasiri hadi saa 1 usiku. Njoo na rafiki au ndugu yako...
Tunaomba utusaidie KU-SHARE










WOCA LOGO

Comments