24.09.2017: MH. BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE NA WAGENI WAKIELEKEA MADHABAHUNI TAYARI KWA KONGAMANO LA WANAWAKE NA UCHUMI

Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare akiingia kanisani tayari kwa kuzindua rasmi Kongamano la Wanawake na UCHUMI la Kukomesha Kilio Cha Mwanamke. Kongamano hili limeandaliwa na Women of Christ Alliance (Mithali 30:29) - WOCA wa Mlima wa Moto Mikocheni "B" chini ya Bishop Dr. Gertrude Rwakatare.

Kongamano hili litahitimishwa siku ya Jumapili 01.10.2017 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B". Kwahiyo wewe ambaye ulifika au ulikosa siku ya Jumapili kwa wiki hii litaanza saa 9 alasiri hadi saa 1 usiku. Usipange kukosa wewe mwanamke unayepitia changamoto za kiuchumi, kiafya, kihuduma..



































































Comments