24.09.2017: MAOMBEZI YALIVYOFANYIKA KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE NA UCHUMI SIKU YA JUMAPILI

"Tunatakiwa kumtafuta Mungu kwasababu anapatikana" 
Siku ya Jumapili 24.09.2017 katika uzinduzi wa kongamano la Wanawake na Uchumu la Kukomesha Kilio Cha o Mwanamke Kifdha, Kihuduma, Kiafya na Kifamilia lililoandaliwa na Chama Cha Women FOr Christ (WOCA) chini ya Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare maelfu ya watu walimuabudu Mungu na kufanya maombezi ili Mungu asimame katika kuwasaidia wanawake kujikwamua KIUCHUMI, Kiafya, Kifamilia na Kihuduma.

hakika Mungu alionekana kugusa maisha ya watu kutokana na uwepo wa Mungu uliotanda ndani ya kanisa hili. 

Kongamano bado linaendelea mpaka Jumapili 01.10.2017 kuanzia saa 9 alasiri hadi saa 1 usiku.. Usikose siku hizi 8 za mafanikio yako. Mungu na akubariki sana.
 Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare akifanya maombezi












Comments