24.09.2017: JINSI WATU WA MUNGU WALIVYOMSIFU MUNGU KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE LINALOENDELEA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" HADI 01.10.2017

Siku ya Jumapili 24.09.2017 Ilikuwa ni siku ya Furaha na Ndelemo katika nyumba ya BWANA Mlima wa Moto Mikocheni "B" kwenye uzinduzi wa Kongamano la Wanawake na Uchumi la Kukomesha Kilio Cha Mwanamke ambalo siku ya leo linaendelea hapo kanisani saa 9:30 alasiri hadi saa 1 jioni. Kongamano limeandaliwa na Women of Christ Alliance - WOCA hadi siku ya Jumapili 1.10.2017. Ni siku yako Mwanamke la Kuamka KIUCHUMI..Umeteseka sana sasa yatosha

Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare akiongoza akiwa mstari wambele kumsifu Mungu wetu






















































Comments