24.09.2017: HAPPY KWAYA WALIVYOMTUKUZA MUNGU KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Happy Kwaya na Joybringers Kwaya walitubariki sana katika Kongamano la Wanawake na Uchumi la Kukomesha Kilio Cha Mwanamke lilizinduliwa siku ya Jumapili 24.09.2017 na litahitimishwa siku ya Jpili 01.10.2017. Siku za katikati ya wiki litakuwa linaanza saa 9 alasiri hadi saa 1 usiku.. Wewe mwanamke unayetaka kuinuliwa Kiuchumi usikose kabisa..




Comments