23.07.2017: DADA AMSHUKURU MUNGU KWA KUPONYA MGOGO NA KIUNO BAADA YA KUOMBEWA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"


Siku ya Jumapili 23.07.2017 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" aliweza kushuhudia jinsi Mungu alivyomponya na maumivu makali ya mgongo baada ya kuombewa na Mch. Noah Lukumay Jumapili 16.07.2017 Mlima wa Moto Mikocheni "B". Pia alimshukuru sana Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare, Mch. Noah Lukumay na kila mmoja aliyehusika kumuombea mpaka akapokea uponyaji wake. Mungu azid kumlinda












Comments