25.06.2017: BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE ALIVYOWASIMIKA UCHUNGAJI NA KUWACHAGUA BAADHI YA VIONGOZI WA VIJANA WA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" SIKU YA JUMAPILI

Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare siku ya Jumapili 26.06.2017 katika ibada ya maombi ya  KUONDOA NJAA iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B", aliweza kuwasimika tena wachungaji na kuwachagua baadhi ya viongozi wa vijana.  Bishop aliweza kuwaombea na kuwatamikia maneno ya baraka katika kazi mpya walioinza ya kumtumikia Mungu. 










Comments