Siku ya Jumapili 23.04.2017 mshirika wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" aliweza kumshukuru Mungu kwa kupata mtoto. Na pia alimshukuru sana Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare kwa maombezi yake ambayo yameleta majibu katika maisha yake.










Comments