20.04.2017: VIDEO: MH. BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE AAPISHWA TENA BUNGENI KUWA MBUNGE



Mh. Bishop Dr. Getrude Rwakatare kwa mara nyingine aapishwa kuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi, Uapisho ulifanyika 20.04.2017 katika Bunge la Taifa Dodoma. Mheshimiwa aliambatana na wachungaji, wazee wa kanisa, vijina wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" na watumishi mbalimbali.













Comments