SIKU 1 YA KUFUNGULIWA KWAKO KATIKA TAMASHA LA MAOMBEZI NA KUVUNJA NGOME ZA SHETANI MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" SIKU YA JUMAPILI 31/07/2016


Hii itakuwa ni siku yako ya kihistoria ya kubomoa ngome za shetani. Mungu atakuondoa katika mapito unayopitia, ya wezekana unapitia katika Mikosi, Laana, Ndoto chafu, Umaskini, Utasa, Kukosa mume/mke, Magojwa Sugu, Kukosa Kazi, Chuma Ulete, Kushindwa Kusoma, Kukosa Ada, Kukosa Kodi ya Nyumba, Kutengwa, Kutopenda Neno la Mungu, Kuonewa, Kukosa kibali nk.
Bwana anakwenda kukuweka huru. Ibada itaanza saa 3 asubuhi hadi mchana.
 

Comments