19.06.2016: MCH. AMOS KUTOKA MWANZA AZIDI KUFANYA MAKUBWA KATIKA SEMINA YA WIKI YA KUKUMBUKWA NA BWANA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Semina hii ya kukumbukwa naMungu imeanza siku ya Jumapili 17 na itahitimishwa siku ya Jumapili 24.07.2016. Katikati ya wiki inaanza saa 10 jioni na Jumapili itaanza saa 3 asubuhi. Usikose.











Comments