24.10.2015: IBADA YA JUMAMOSI YAKONGA MIOYO YA WATU NDANI YA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Ibada hii ilifanyika siku ya Jumamosi kwasabau siku ya Jumapili 25.10.2015 ulikuwa unafanyika uchaguzi mkuu katika Taifa la Tanzania wa kumchagua Rais, wabune na madiwani, kwahiyo kanisa likaamua kusitisha ibada ya Jumapili ili watu waende kupiga kura.

Kwako wewe uliyekosa kufika katika ibada hii unaweza kuungana nasi kwa kuona clip hii. Mungu akubariki sana. Temblea www.facebook.com/mountainoffire Tanzania

Comments