NI SEMINA YA KUANZA MWAKA NA BWANA NDANI YA MLIMA WA MOTO

 Muhubiri wa kimataifa mchungaji Francis Junior kutoka kenya, akihubiri katika semina inayoendelea ndani ya kanisa la mlima wa Moto

Mwimbaji Tumsifu, anayetamba na kibao cha mwambie farao.

Ni semina ya kuanza mwaka na Mungu inayoendelea katika kanisa la mlima wamoto mikocheni B. Uwepo wa Mingu usio wa kawaida wajidhihirisha katika semina hiyo.
Wote mnakaribishwa.

Comments