CROSSOVER NIGHT (MKESHA MKUBWA WA KUINGIA MWAKA MPYA WAFANA SANA)





Crossover night, ulikua ni usiku wa pekee, maelfu ya watu walihudhuria mkesha huo wa kumaliza mwaka na kuingia mwaka na baraka za Bwana. Ni ndani ya kanisa la Mlima wa Moto linaloongozwa na Dk. Getrude Rwakatare.

Comments