ILE DVD YA KONGAMANO LA SHILO TANZANIA 2013 SASA INAPATIKANA KANISANI MLIMA WA MOTO

Jipatie sasa nakala yako ya DVD ya kongamano la shilo Tanzania 2013. Ndani yake utabarikiwa na mafundisho kutoka kwa Askofu Maboya, Askofu Mrisa, Dk. Getrude Rwakatare, Mch. Noah Lukumay na watumishi wengine kibao. Pia utabarikiwa na wimbo Maalum wa Shilo Tanzania pamoja na maombezi kwa taifa la Tanzania.

Kwa mawasiliano zaidi piga 0716560094

Comments