JIPATIE ZAWADI YA FULANA KUTOKA PRAISE POWER RADIO










Je wewe ni mpenzi wa Praise power Radio “PPR”?

Je umekuwa ukibarikiwa na vipindi vya Praise power Radio?



Haya sasa, uongozi wa PPR, wamewaletea zawadi nzuri kwa kila msikilizaji. Zawadi hiyo ni fulana nzuri kabisa, utaipata kwa bei chee. Juu ya fulana hiyo kuna maandishi yaliyoandikwa “SIFA MOTO”; pia usipate shida ya kuwafahamu watangazaji wote wa PPR, juu ya fulana yapo majina ya watangazaji woooote!

Kazi kwako, jipatie fulana yako, ya ndugu yako nay a rafiki yako!

Comments