MAMIA WAHUDHURIA IBADA YA HARUSI YA MTOTO WA MCHUNGAJI GETRUDE RWAKATARE











Ilikuwa ni sherehe ya kipekee ndani ya kanisa la Mlima wa Moto ambapo kijana Tibe Rwakatare na Bi Helen Benedict wamefunga ndoa.  Watu mbalimbali wakiwemo maaskofu, wachungaji, wageni mbalimbali kutoka ndani na nnje ya nchi wamehudhuria ibada hiyo. Chini ni picha za matukio mbalimbali ya harusi hiyo. Tutaendelea kukuwekea picha za sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa kisasa wa Mlimani City.

Comments