KARIBU MLIMA WA MOTO! “NI JUMAPILI YA KUTOKA KATIKA UTUMWA”




 Shuhuda mbalimbali za matendo makuu ya Mungu


Inawezekana umefungwa katika utumwa wa madeni, umaskini, ukata, kuonewa, kukataliwa, kunyang’anywa mali, kesi, kutokufanya vizuri katika masomo yako, kutokulipwa haki yako, mikosi na balaa; jumapili hii ni jumapili yako. Mchungaji kiongozi wa Mlima wa Moto pamoja na jopo la watumishi, wamejipanga kukuombea. Hakika Yesu mtenda miujiza atakuweka huru.
Karibu sana!

Comments