13.01.2019: WATU WAINGIA KATIKA KISIMA CHA BETSAIDA.

Bwana apewe sifa. Siku ya Jumapili 13.01.2019 baada ya ibada ya Kurejesha Shehena ya ajira, kazi, biashara, afya n.k iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" jijini Dar es Salaam Tanzania, waumini na watu wote waliofika katika ibada hiyo waliweza kuingia kwenye kisima au birika la Betsaida ambalo lilikuwa na maji yaliyoombewa na kugeuzwa kuwa damu ya Yesu. Kila mtu aliweza kupita katika kisima hicho huku akinena yale ambayo alitamani Mungu amfanyie mwaka 2019. 

HAPA KUONA VIDEO YAKE: https://www.youtube.com/watch?v=UnrKfUFCRFw&feature=youtu.be

























Comments