04.11.2018: HAPPY KWAYA NA JOYBRINGERS KWAYA WALIVYOMTUKUZA MUNGU KATIKA IBADA YA MAOMBI YA VITA

Happy Kwaya na Joybringers Kwaya walivyomtukuza Mungu katika ibada ya Maombi ya Vita iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B".




Tunakukaribisha katika ibada ya Jumapili hii katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B". Ibada itaanza saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana.



Usafiri wa kufika kanisani ni bure kuanzia kituo cha mabasi cha Makumbusho na Mwenge kwenye mataa barabara ya Coca Cola, Ilala Stand, Tegeta Wazo, Goba Stand, Mbezi Mwisho/Kimara Stop Over, Buguruni Chama/ Mandela Road, Mbagala Rangi 3














Comments