16.09.2018: WATU WAKIABUDU KATIKA IBADA YA MAOMBI YA KUVUNJA ROHO YA UTASA NA LAANA

Tumuabudu Mungu wetu kwasababu ni mwema katika maisha yetu.

Hivi ndivyo walivyoabudu wana Mlima wa Moto Mikocheni "B" siku ya Jumapili 16.09.2018 kwenye ibada ya KUVUNJA ROHO YA UTASA NA LAANA iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B"


 







Comments