19.08.2018: WAZEE WA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" WAMSHUKURU MUNGU KUAPATA MTOTO MWINGINE KATIKA FAMILIA YAO

Siku ya Jumapili 19.08.2018 kwenye ibada ya Kuvunja Laana na Roho Zinazofuatilia maisha ya watu, wazee wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" walimshukuru Mungu kupata mtoto wao mwingine. Naomba sasa uwasikilize wakimshukuru Mungu kupitia video hii. BONYEZA HAPA: https://www.youtube.com/user/Rumafrica/videos
















Comments