11.07.2018: MCH. FRANCIS MACHICHI AGUSA MIOYO YA WATU KWA MAHUBIRI YAKE KATIKA SEMINA YA SIKU 8 ZA MID YEAR CROSS OVER 2018

Mambo yameiva katika semina hii ya siku 8 za Mid Year Cross Over inayoendelaea katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B". Mch. Francis Machichi wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" ni miongoni mwa wachungaji 12 wa kanisa hili ambaye alifanyika baraka sana siku ya Jumatano 11.07.2018 kwenye semina ya kumshukuru Mungu kwa miezi sita iliyopita na kukabidhi nusu mwaka kwa BWANA. Kupitia mafundisho yake watu tuliinuliwa kiroho na kimwili. Nikualike siku ya leo saa 9:30 alasiri katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B". Mungu akupe wepesi wa kushiriki semina hii bila kukosa.

Endelea kufuatilia post zetu ambapo tutakuletea video ya mahubiri yake hivi karibuni.

Mch. Francis Machichi















Comments